Familia ya Erick Na Veronica Mahai inasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa Mzee Bertram Andreas Mahai kilichotokea Jumapili July 9 2017 huko nyumbani Tanzania
Msiba upo nyumbani kwa wafiwa
9451 common brook rd apt 202
Owings mills MD 21117
Kwa maelezo zaidi na maelekezo
Piga simu
Erick Mahai 4439098389
Veronica Kaphipa 865 816 0732
Vitalis Gunda 240 3836950
Dalmatus Nambai 301 523 1378
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzio
Bwana alitoa na sasa ametwa jina lake lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment