Advertisements

Monday, July 10, 2017

NJE-NDANI yarejea leo live kutoka Kilimanjaro Studio

Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye kipindi cha NJE-NDANI kinachogusia masuala mbalimbali yahusuyo Afrika, uAfrika na waAfrika kinarejea.
Ungana na Mubelwa Bandio na Eddy Fundi saa 12 kamili jioni kwa saa za Marekani Mashariki (6:00pm ET) kupata habari, mijadala, na mahojiano mbalimbali
Ni kupitia link hii https://beta.tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/ ya TuneIn App, ama kupitia TOVUTI HII ya OneMic Show

No comments: