Advertisements

Saturday, July 1, 2017

Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Djany Pacha, akiwa hewani baada ya kubinjuka sarakasi wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akicheza sebene na muongoza shughuli 'Mc' Mussa , wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. 
Rapa Mwanamke Ruth Nzele, wa mwanamuziki wa Kimataifa kutoka Congo, Ferre Gola, akirap wakati bendi yake ikitoa burudani katika onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. 
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akipiga makofi kumshangilia mnenguaji wa Ferre Gola, Ilunga Mulumba, wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mnenguaji wa Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Biffalo Yamado, akipagawisha mashabiki wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mnenguaji wa Mwanamuziki Ferre Gola wa Congo, Ilunga Mulumba, akipagawisha mashabiki wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. 
WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, kwa kutambua mchango kufanikisha onyesho la mwanamuziki Ferre Gola, la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia jana Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama. Kulia ni Balozi wa Congo nchini Tanzania,Jean-Pierre Mutamba (kushoto) ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd, na mratibu wa onyesho hilo, Teddy Mapunda. 
Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho maalumu la kusherehekea Uhuru wa miaka 57 ya Nchi ya Congo lililofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2017. Fedha zilizopatikana kutokana na mauzo ya meza za onyesho hilo zinasaidia kuchangia Wanafunzi wenye mahitaji maalumu katika shule za Uhuru Mchanganyiko na Wama.
Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (katikati) akiimba na kucheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onesho hilo.
Mahojiano
Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd, Teddy Mapunda, akisoma hotuba yake wakati wa onyesho hilo.
Balozi wa Congo nchini, akisoma hotuba yeke
WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Agostino Maige, akisoma hotuba yake
Washirika na wadau wakipokea vyeti vya heshima
Mwanamuziki Christian Bella akitoa burudani
Wanamitindo wakipita mbele ya mashabiki waliohudhuria shoo hiyo huku shoo ikiendelea..

No comments: