Habari wapendwa wote,
Tunakusanya mizigo ya kusafirisha kwa meli(Ijumaa hii ya tarehe 28 July, 2017) na kukomboa/clearance, kwenda Dar Es Salaam, Tanzania, mwezi July.
NJ, DE, PA, & NY
Wasiliana na mimi ili nikupe ratiba ya kuja chukuwa mizigo yako.
Nawashukuru wote.
Asante,
Patrick Liganga
AMEFRICARGO EXPRESS, LLC
No comments:
Post a Comment