Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana
na Mchezaji wa timu ya Bunge Mheshimiwa William Ngeleja (kushoto) wakati
akikagua vikosi vya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka
nchini Marekani kabla ya kuanza kwa mechi yao iliyofanyika leo katika uwanja wa
Jamhuri Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akionyesha
zawadi ya jezi ya timu ya Taifa ya Marekani aliyopewa na Mchezaji wa timu ya FC
GRACE UNITED STATES Ndg. Robert Allen (kushoto) kabla ya kuanza kwa mechi kati
ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini
Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akikabidhiwa
jezi na Mchezaji wa timu ya FC GRACE UNITED STATES Ndg. Robert Allen (kushoto)
kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE
UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili
kulia)akifurahia jambo na Mchungaji Vicent Valentyn kutoka Afrika kusini (watatu
kulia) wakati wakifuatilia mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC
GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akikabidhiwa
Mipira kutoka kwa Ndg. Robert Allen (kulia) kwa ajili ya timu ya Bunge, kabla
ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge na timu ya FC GRACE UNITED STATES
kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja
wa Jamhuri Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment