Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini misufini wakiwa katika kituo cha Afya kupata huduma ilikowa ikitolewa na Madaktari Diaspora kutoka Nchini Marekani Mabingwa wa Maradhi ya Ngozi, Presha Kisukari na Madakrati wa Watoto wamekuwa katika kituo hicho cha Afya Bumbwini Misufini kutowa huduma hiyo kwa Wananchi wa Kijiji hicho Wakiwa Zanzibar kwa siku nne kwa ajili ya kutowa huma hiyo wameaza katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.










No comments:
Post a Comment