Advertisements

Friday, July 14, 2017

UPDATE YA MSIBA DMV NA TANZANIA

Aunty Moza anapenda kuwataarifu kuwa anashukuru sana kwa pole nyingi alizopata kutoka sehemu mbalimbali na anawataarifu ya kuwa kwa sasa yupo safarini kuelekea Tanzania kwa maziko ya mpendwa mtoto wake aliyefariki usiku wa kuamkia Ijumaa July 14, 2017 kwa saa za Marekani ya mashariki.

Aunty Moza atawataarifu siku atakaporejea kutoka Tanzania kwa taratibu zingine zitakazofuata kwa ajili ya kumpa pole na ameacha acc ya Bank of America kwa atakaependa kusaidia ili kupunguza makali ya gharama za msiba huu mkubwa wa kuondokewa na mpendwa mtoto wake.

Jina ni Moza M. Khamis Bank Of America acc # 446017104715 Route # 052001633

Aunty Moza anatanguliza shukurani na kuwaombea kwa Mola awazidishie.

No comments: