Maofisa wa Mfuko wa PSPF wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wa Kongamano la Watanzania Wanaoishi Ughaibuni Diaspora wakiwa katika ukumbi huo wakisubiri kuza kwa Mkutano huo uliofunguliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Jamuhuri Makamba akimuwakilisha Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Simiha Suluhu Hassan. inayoyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Washiriki wa Kongamano la Watanzania Wanaoishi Nje Diaspora wakiwa katika ukumbi wa Mkutano katika hoteli ya Sea Cliff Zanzibar, lililowashirikisha Diaspora kutoka sehemu mbalimbali wenye asili ya Tanzania linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar. ,
ZANZI NEWS
No comments:
Post a Comment