VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA KILA HERI, AFYA NJEMA NA BARAKA TELE KATIKA SIKU YAKO YA KUZALIWA NA UISHI MIAKA MINGI ZAIDI ILI TUENDELEE KULISUKUMA GURUDUMU LETU LA HABARI KWA PICHA.
WANA ATLANTA, GA KWA YOYOTE MWENYE MATANGAZO YA BIASHARA, MATUKIO YA PICHA ZA SHUGHULI MBALIMBALI, MATANGAZO YA MISIBA, HITMA, NK WASILIANA NAE KWA EMAIL:rudobba@gmail.com MWENYEWE ANA SLOGAN YAKE "Atlanta Mojaaaa" |
1 comment:
Happy Birthday Rachel nakutakia Birthday njema na maisha marefu!
Mmependeza sana na mwanangu����
~ From Glory
Post a Comment