MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MZEE WASIRA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe.
Stephen Wasira leo ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment