Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga Mpina akiongea wakati wa ziara ya Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar, iliyomtembelea Ofisini kwake jijini Dar Es Salaam wa kwanza kulia nia Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh. Hamza Hassan Juma na wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati.
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar wakimsilikiza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga Mpina(hayupo pichani) wakati wa ziara yao Ofisini kwa Waziri huyo.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Luhaga Mpina akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ardhi na Mawasiliano ya Baraza la Wawakilishi kutoka Zanzibar, iliyomtembelea Ofisini kwake jijini Dar Es Salaam
No comments:
Post a Comment