Brigedia Jenerali John Julius
Mbungo aliyeapishwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia Jenerali John Julius
Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi nyenzo za kazi Brigedia Jenerali John Julius Mbungo baada ya
kumuapisha kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na
Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Brigedia Jenerali John
Julius Mbungo akila kiapo cha maadili ya Viongozi wa serikali baada ya
kumuapisha kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na
Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Brigedia
Jenerali John Julius Mbungo wakati akiongea machache baada ya kumuapisha
kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Ikulu jijini
Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Brigedia Jenerali John
Julius Mbungo baada ya kuongea machache baada ya kumuapisha kuwa Naibu
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es
salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
(Utumishi na Utawala Bora) Mhe. Angela Kairuki baada ya kuongea machache
baada ya kumuapisha kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia
na Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti
wa Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela baada ya kumuapisha Brigedia
Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na
Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu
wa Takukuru Bw. Alex Mfungo akiongea machache baada ya kuapishwa kwa
Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kumuapisha
Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) Mhe. Angela
Kairuki, Waziri wa sheria na Katiba Profesa palamagamba Kabudi, Mwanasheria Mkuu
wa Serikali Mhe. George Masaju, katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Brigedia Jenerali John
Julius Mbungo baada ya kuapishwa kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment