ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 23, 2017

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UINGEREZA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini  Bi. Elizabeth Arthy  aliyeongozana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart akiwa na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na akiwa na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy aliyeongozana na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya kufanya mazungumzo  Waziri wa Mambo ya Nje wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart akiwa na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017.
Picha na IKULU

No comments: