Advertisements

Wednesday, August 16, 2017

TAARIFA YA KAMATI YA KUSIMAMIA KESI YA KAKA MAYOR

Ndugu zetu Watanzania, tunatumai mko katika hali njema.

*Tulipofika Mpaka sasa:*

▪Mwanasheria aliwasilisha nyaraka zilizoombwa na jaji siku ya Ijumaa. 8/11/17

▪Jaji alizipokea na kuzihakiki nyaraka hizo siku ya Jumaatatu 8/14/17.
Baada ya kuridhika nazo jaji huyo alizituma nyaraka hizo kwa jaji ambae atashughulikia swala la dhamana .

▪Mwanasheria amewasiliana na jaji wa dhamana Jumanne 8/15/17, amesema bado hajaziona nyaraka hizo kwenye system.
Atatoa jibu kuhusu usikilizwaji wa dhamana Mara baada ya kuzipokea nyaraka hizo.

▪Kaka Meya, amezungumza na dada Jasmine, 8/15/17. Yuko salama, na anawasalimu.

▪Fedha zilizokusanywa mpaka sasa ni kama ifuatavyo:

Gofund me : $23,806

Labor day event : $350

Bank deposit : $200

*Jumla : $24,356*

*Zilizotumika:*

Escrow : $5,000

Mahitaji mdogo mdogo ya br. Meya : $350

*Angalizo:*
Tutakuwa tunatoa mrejesho wa yanayojiri kila tunapopata taarifa mpya.
Tunaomba uvumilivu wenu kwani maswala haya yanachukua muda.


https://www.gofundme.com/Mayorimmigrationchallenge

Bank of America:
Acc # *446039288677*
Routing # *052001633*
Ernest B. Kessy
Jasmine R. Bennett.


Kwa maelezo zaidi au maoni wasiliana na:

Ali Mohamed 3015009762
Baybe Mgaza 2022005031
Raju Tambwe 4433177440
Jasmine Rubama 4103719966
Mganga Muhombolage 2023740988
Iddi Sandali 3016135165
Kessy Metro Tires 2024135933
Jabir Jongo 2406040574

Tunawashukuru sana.

Ahsanteni.

Wanakamati.
Help spread the word!

No comments: