MISA YA KISWAHILI YA KILA MWEZI IKIWA PAMOJA NA UBATIZO BALTIMORE, MARYLAND
Padri Honest Munishi akiongoza Misa ya Kiswahili ya kila mwezi iliyofanyika Baltimore Maryland ikiambatana pia ubatizo wa watoto wa Familia ya Stanley Walden na Marco Madiga siku ya Jumapili Sept 24, 2017
No comments:
Post a Comment