Advertisements

Thursday, September 14, 2017

MSIBA DMV NA TANZANIA

Familia ya Sakapala inasikitika kutangaza mziba wa mpendwa baba yao Mzee Kessy Sakapala uliotokea Tanzania siku ya Jumaane na kuzikwa jana Jumatano. Marehemu ni baba mzazi wa Ummy na Abuu

kama ilivyo desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mpendwa baba yao.

msiba hapa DMV upo 
3904 Greencastle Ridge Rd # 103
 Burtonsville,MD 20866

Kwa mawasiliano zaidi unaweza piga simu kwa 

Danny Kaswamila 301 434 1541
Zawadi 301 379 2342
Abdul Sakapala 202 758 7805
Abuu Sakapala 301 728 8659

TAARIFA ZINGINE ZITAFUATA

No comments: