Advertisements

Thursday, September 14, 2017

MSIBA DMV NA TANZANIA

Mtanzania mwenzetu na mwanajumuiya mwenzetu wa DMV, Bernadette Francis, amepata msiba wa mama yake uliotokea Tanzania siku ya Jumapili.

Marehemu alifariki ghafla alipokuwa mapumzikoni Karatu, taratibu za kusafirisha mwili kwenda Dar zinaendelea. Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano.

Kwa sasa mwenzetu yupo njiani kuelekea Tanzania kwa mazishi.

Kama ilivyo kawaida yetu, basi mwenzetu anatuhitaji mno katika kipindi hiki kigumu, huko nyumbani atakapokuwa na hata hapa atakaporudi, mchango wako wa hali na mali ni wa muhimu sana katika kipindi hiki. Tunatanguliza shukrani za dhati.

Gofundme account imefunguliwa kurahisisha hili zoezi. 
9/14/17, 2:07:42 PM: Ismail Bana: https://www.gofundme.com/rambi-rambi

1 comment:

Anonymous said...

Rest In Peace Sr. Jean Pruitt!