ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 28, 2017

PICHA ZA MUENDELEZO ZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim ahmed Salim baada ya kupiga picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu Mhe. Naohodha baaya ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo September 27, 2017. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Visiwani) Dkt. Abdalla Juma Sadala 'Mabodi'
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiondoka ukumbini baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kikao chao jijini Dar es salaam leo September 27, 2017


Picha na IKULU

No comments: