ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 24, 2017

RAIS DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MBALI MBALI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Dkt, Idris Muslim Hija kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, hafla iliyofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, kabla ya Uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza  kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Bakari Haji Bakari  kuwa Katibu Mtendaji wa Bazara la Biashara la Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Ali Khamis Juma  kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Wizara ya Fedha na Mipango.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Iddi Haji Makame  kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,  hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Abeid Juma Ali  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba katika  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Kapteni Khatib Khamis Mwadini  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A.Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Salama Mbarouk Khatibu  kuwa Mkuu wa Wilaya yaMicheweni Pemba katika  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
(Picha na Ikulu)

No comments: