Dinner and dance iliyofanyika Mt Vernon New York siku ya Halloween ya nogeshwa na Mfalme wa Mduara Africa Mashariki AT. Hapa akikonga nyoyo za Watanzania ndani ya ukumbi wa AC BAW CENTER FOR ARTS.
Mambo yalikuwa kama hivi jitiririshe mwenyewe hapa chini na jidadavue kiroho safi kwa kwenda read more.
No comments:
Post a Comment