Advertisements

Sunday, October 22, 2017

BOSS WA BARRICK GOLD CORPORATION AWASILI NCHINI TANZANIA

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Profesa John L. Thornton akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Jumanne jioni tayari kushiriki katika mazungumzo ya mwisho na hatimaye makubaliano baina ya Kamati ya serikali na timu ya wataalamu wa kampuni hiyo kuhusiana na makinikia pamoja na biashara ya madini kwa ujumla.

No comments: