ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 16, 2017

GoFundMe YA MPENDWA WETU JOSEPH NDYAMUKAMA KWA AJILI YAKUSAIDIA WATOTO WAKE NA TIKETI YA MSINDIKIZAJI

Mark akionyesha wanaDMV makusanyo ya michango iliyochagwa papo kwa hapo kwenye ibada ya kumwmbea marehemu Joseph Ndyamukama kwaajili ya watoto wake Tanzania na kuwezesha kupatikana kwa tiketi ya msindikizaji ambapo ilipatikana $1,048 na Jumuiya ya wakatoliki misa ya Kiswahili kuomba kwa yeyote atakayekua ameguswa namsiba huu anaweza kuchangia kwenye GoFundMe ya marehemu kwa KUBOFYA HAPA
 Zilia lenye picha ya marehemu enzi ya uhai wake
Kisandungu chenye majivu ya marehemu ambayo imeonelewa sio vyema kukituma Tanzania kama barua ndio maana wanaDMV wameomba mchango wako kuwezesha kupatikana kwa tiketi ya msindikizaji na kitakachobaki kusaidia watoto wa marehemu,WanaDMV na familia ya marehemu wanatangulisha shukurani kwa mchango wako.

No comments: