ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 17, 2017

MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amaliza ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama uliofanyika Kitaifa mkoani Kilimanjaro na kurejea Dar es Salaam. 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na  Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kufungua maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo Kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



No comments: