ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 8, 2017

MISA JUMAPILI OCT 8, 2017. NEW YORK

Image result for Misa ya Kiswahili - Jumapili NEW YORK
Wakristu wapendwa,

Tumsifu Yesu Kristu.

Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi, wanapenda kuwatangazia ya kuwa,

Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 8 Mwezi Oktoba 2017, Saa 8:00 mchana (Sunday 8th Oct 2017 at 2 pm).

Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni sana tumshangilie Bwana, kwa lugha yetu ya Kiswahili.

Mbarikiwe.
Karibuni...sana..

Kutoka kwa Padre Mushi na Padre Amobi

No comments: