Advertisements

Tuesday, October 17, 2017

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MWAKILISHI WA MKAAZI WA (UNIDO)

 Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw.Stephen B.Kargo   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
 /Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw.Stephen B.Kargo   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akifuatana  na mgeni wake   Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw.Stephen B.Kargo baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo (Picha na Ikulu).

No comments: