ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 30, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AONDOKA DAR LEO KUELEKEA MWANZA KWA ZIARA YA SIKU MBILI

 Rais wa Jamhiuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli akisindikizwa ma Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na kamanda wa Jeshi la Polisi  Kanda Maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa  na maafisa wengine  wakati akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es  salaam leo Oktoba 30, 2017 kuelekea Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. 



  Rais wa Jamhiuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli akiagana na kamanda wa Jeshi la Polisi  Kanda Maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa  na maafisa wengine  wakati akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es  salaam leo Oktoba 30, 2017 kuelekea Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais wa Jamhiuri ya Muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli  akaigana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda.Picha na IKULU

No comments: