ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 22, 2017

JTI yatoa msaada wa vifaa tiba zahanati ya kijiji cha Usindi wilayani Kaliua

 Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Abel Busalama(kulia) akiunganisha Darubini ya kuchunguzia magonjwa ikiwa ni Msaada uliotolewa na Kampuni ya Japan Tobacco International (JTI) kama vifaa tiba kwa Zahanati ya Kijiji cha Usindi wilayani humo jana.
 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Dkt. Aristides Raphael akimwonyesha Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Abel Busalama (kushoto) darubini mpya waliyopata kutoka kutoka Kampuni ya Japan Tobacco International (JTI) kama vifaa tiba kwa Zahanati ya Kijiji cha Usindi wilayani humo jana.

 Baadhi ya vifaa vilivyokabidiwa na Kampuni ya Japan Tobacco International (JTI) kama vifaa tiba kwa Zahanati ya Kijiji cha Usindi wilayani Kaliua jana. 
 Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Abel Busalama akizungumza jana na wakazi wa Kijiji cha Usindi mara baada ya kupokea vifaa mbalimbali vyenye thamani ya milioni 13.5 kwa ajili ya Zahanati ya Kijiji hicho kutoka Kampuni ya Japan Tobacco International (JTI) kama vifaa tiba kwa Zahanati ya Kijiji cha Usindi wilayani humo jana.
 Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Dkt. Aristides Raphael akizungumza jana na wakazi wa Kijiji cha Usindi wakati wa zoezi la  kupokea vifaa mbalimbali vyenye thamani ya milioni 13.5 kwa ajili ya Zahanati ya Kijiji hicho kutoka Kampuni ya Japan Tobacco International (JTI) kama vifaa tiba kwa Zahanati ya Kijiji cha Usindi wilayani humo jana.
Picha RS -Tabora

No comments: