ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 22, 2017

MAFUNZO YA UDHIBITI USAMBAAJI MAFUTA BAHARINI YAFANYIKA ZANZIBAR.

 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji mafuta wakati yanapomwagika Baharini wakisikiliza maelezo kutoka kwa kiongozi kutoka ZMA kabla ya kuanza kwa zoezi la vitendo la kudhibiti mafuta katika bandari ya Malindi mjini Unguja.Mafunzo hayo yanaendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
 Washiriki wa Mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji wa Mfuta wakati yanapomwagika baharini wakiunganisha maturubali maalum ya kudhibiti mafuta katika Bahari kwenye mazoezi ya vitendo yaliofanyika katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja .Mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
 Washiriki wa Mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji wa Mfuta wakati yanapomwagika baharini wakikunjuwa  maturubali maalumu kwa ajili ya  kudhibiti mafuta yaliomwagika baharini  katika  mazoezi ya vitendo yaliofanyika katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja .Mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
 Maturubali maalum ya kudhibiti usambaaji wa mafuta yaliomwagika baharini yakiwatayari yamesha tandazwa kwa ajili ya kudhibiti mafuta katika  mazoezi ya vitendo yaliofanyika katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja .Mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
 Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Hassan akifanya mahojiano na Msaidizi mtaalamu Mkuu kutoka Taasisi ya Norwagian Costal Adminastration (NCM).Odd Gonnar Jorgensen kuhusiana na zoezi zima la uendeshaji wa mafunzo ya Udhibiti wa Usambaaji wa Mfuta baharini katika mafunzo ya vitendo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
 Kifaa maalum cha kuchuja mafuta Baharini kikiingizwa baada ya mafuta yaliomwagika kudhibitiwa  katika mafunzo ya vitendo yakudhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika baharini  yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
 Injinia Mratibu wa Maswala ya mazingira Baharini kutoka ZMC Halfani Hamad Hassan kulia akizungumza na Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mafunzo ya Vitendo ya kudhibiti Usambaaji wa Mafuta baharini mafunzo yanayoendeshwa na Kampuni kutoka Norwey inayojishughulisha na Udhibiti wa mazingira Baharini Norwagian Costal Adminastration (NCM).
 Msaidizi mtaalamu Mkuu kutoka Taasisi ya Norwagian Costal Adminastration (NCM).Odd Gonnar Jorgensen wapili kulia akisisitiza jambo katika  zoezi  la utandazaji wa maturubali maalum ya kudhibiti mafuta yaliomwagika baharini uendeshaji mafunzo yaliofanyika katika bandari ya Malindi mjini Unguja.
Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Hassan akifanya mahojiano na mmoja kati ya Washiriki wa mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa mafuta yaliomwagika baharini Abdillahi Chilinga kutoka kampuni ya GAPCO Zanzibar kuhusiana na namna alivyoyapokea mafunzo hayo yaliofanyika katika bandari ya Malindi mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments: