Advertisements

Tuesday, November 21, 2017

MWANAMITINDO ASYA KUFANYA FASHION SHOW YA KUFA MTU KATIKA JIJI LA WAJANJA OAKLAND - CALIFORNIA


Kwa manunuzi ya awali ya tiketi yako unaweza kuzipata kupitia namba 510-269-0220 au mtandaoni kupitia tovuti la EventBrite. Bonyeza hapa kununua tiketi yako sasa ujivunie onyesho hili kabambe  https://tanzania-independence-day.eventbrite.com

Njoo ujumuike na wa-Tanzania wenzako kutoka sehemu mbali mbali pamoja na chakula cha kitanzania, ngoma za kiasili, mziki laini kutoka Tanzania na vinywaji vyote vitatolewa BURE.

No comments: