ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 1, 2017

WaTanzania Marekani kukutana kujadili uboreshwaji wa huduma za Afya Tanzania

Baraza la waTanzania waishio Marekani (DICOTA) litaendesha Jukwaa kubwa na la kipekee kujadili nafasi na wajibu wa waTanzania waishio nje ya nchi katika kuboresha huduma za afya nchini Tanzania.
Miongoni mwa wanaotarajiwa kuzungumza ni pamoja na Balozi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniano kanda ya Afrika na wadau wengine wengi wanaoshiriki katika huduma za Afya nchini Tanzania. Mubelwa Bandio amezungumza na Rais wa Jukwaa hilo Bwn Charles Bishota na mmoja wa watakaotoa mada Dr Mary Banda kuhusu maandalizi ya siku hiyo
Karibu kusikiliza

Unaweza kujua mengi kuhusu DICOTA (hapa) na jukwaa hili la Afya kwa kutembelea UKURASA HUU

No comments: