Advertisements

Monday, November 20, 2017

WAZIRI WA NISHATI AKAGUA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME KIDATU

Picha juu na chini ni Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani akagua mitambo ya kuzalisha Umeme ya kituo cha Umeme KIDATU, sambamba na ukaguzi huo Dkt.Kalemani alipokea taarifa ya hali ya mitambo ya uzalishaji umeme pamoja na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Mtambo namba 1, ulioanza kufanyiwa ukarabati tarehe 19 Oktoba 2017 na kampuni ya Koncar yenye makao yake nchini Croatia.

No comments: