Advertisements

Thursday, December 28, 2017

FAMILIA YA SHINDIKA CLEVELAND, OHIO YAFANYA MNUSO MKESHA WA CHRISTMAS

Ellen na Amos Shindika wakipata picha ya pamoja siku ya Jumapili Desemba 24, 2017 kwenye mnuso wa mkesha wa Christmas uliofanyika nyumbani kwao Cleveland, Ohio na kuwaalika wadau mbalimbali wakiwwemo ndugu, jamaa na marafiki.
Wadau mbalimbali waliojumuika na familia ya Shindika kwenye mkesha wa Christmas nyumbani kwao Cleveland, Ohio siku ya Jumapili Desemba 24, 2017 wakiwa kwenye picha ya pamoja
Wakina mama wakijipendelea na ukodak moment siku ya Jumapili Desemba 24, 2017 walipojumuika pamoja na familia ya Shindika kwenye mkesha wa Christmas uliofanyika nyumbani kwao Cleveland, Ohio.
 
Mr Mujuni Nyamwiyura na mama mwenye nyumba wake wakipata picha ya kumbukumbu.
 Watoto nao wakipata Ukodak moment katika kuhakikisha wanasherehekea vyema mkesha wa christmas.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: