Advertisements

Thursday, December 28, 2017

MHE. WILSON MASILINGI NA MKEWE WAMALIZA MWAKA 2017 KWA KUJUMUIKA PAMOJA NA WATUMISHI WA UBALOZI NA FAMILIA ZAO .


Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi , Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico na Mama Marystella Masilingi wakiwa na Watumishi wa Ubalozi wetu na familia zao, Washington, D.C. Marekani.

 Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi , Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico na Mama Marystella Masilingi wakiwa na watoto wa Watumishi wa Ubalozi wetu Washington, D.C. Marekani.

Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi , Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico na Mama Marystella Masilingi wakikata keki ya watoto wa Watumishi wa Ubalozi.

No comments: