Advertisements

Thursday, December 28, 2017

HALI YA USALAMA BARABARANI YAIMARIKA

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania(Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu hali ya ajali na makosa ya barabarani kwa mwaka 2017 leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani wakimsikiliza Kamanda wa Kikosi hicho SACP. Fortunatus Musilimu(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu hali ya mwenendo wa hali ya usalama barabarani kwa mwaka 2017 katika ofisi za Makao Makuu ya Trafiki jijini Dar es Salaam leo.
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu hali ya ajali na makosa ya barabarani kwa mwaka 2017 leo jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)

No comments: