Advertisements

Friday, December 29, 2017

MBUNGE KUBENEA ATOA MILIONI 14 ZA MFUKO WA JIMBO KUJENGA VIVUKO VIWILI MABIBO



Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na wakazi wa Mabibo wakati alipokwa akifanya ziara ya kutembelea miradi na kusikiliza kero za wananchi
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na wakazi wa Mabibo wakati alipokwa akifanya ziara ya kutembelea miradi na kusikiliza kero za wananchi ambapo aliweza kutoa kiasi cha Shilingi Milioni 14 kwa ajili ya ujenzi wa madaraja na kuamua kununua kivuko cha mtu Binafsi hili watu waweze kupita bure kuliko awali ambapo walikuwa wakilipishwa shilingi 200.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akiwa katika mitaa Mabibo wakati alipokwa akifanya ziara ya kutembelea miradi na kusikiliza kero za wananchi
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akizungumza na Mmoja ya Wazee Maharufu wa Mabibo wakati alipokwa akifanya ziara ya kutembelea miradi na kusikiliza kero za wananchi katika eneo la Mabibo
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akitembea na wakazi wa Mabibo wakati alipokwa akifanya ziara ya kutembelea miradi na kusikiliza kero za wananchi
Mmoja ya wakazi wa mabibo akiwasilisha hoja yake kwa mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea wakati alipofanya ziara ya kusikiliza kero za Wananchi
Mmoja ya wakazi wa mabibo akiwasilisha hoja yake kwa mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea wakati alipofanya ziara ya kusikiliza kero za Wananchi
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea akikabidhi fedha kwa ajili ya kulipia kivuko kilichokuwa watu wakilipishwa 200 kwa kila wakipita

No comments: