Advertisements

Tuesday, December 26, 2017

MHE. TUNDU LISSU AANZA MAZOEZI

“Wapendwa wote wiki iliyopita niliwataarifu kwamba madaktari wangu wamesema nitasimama, nitatembea na nitarudi Tanzania.

“Leo Boxing Day nimeweza kusimama kwa mguu mmoja kwa msaada wa mababa cheza kama inavyoonekana, hatua inayofuata nitawajulisheni.

“Hatua inayofuata ni magongo kesho na nitawajulisheni hatua nyingine katika matibabu yangu accordingly, Wasalaam,” Mhe. Tundu Lissu.

No comments: