Advertisements

Wednesday, December 27, 2017

NGOMA AFRICA BAND YAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2018

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU Ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia wadau wote popote mlipo heri ya mwaka mpya 2018 ,inawaombea amani,upendo na mshikamano 

Happy New Year 2018

No comments: