Advertisements

Monday, January 1, 2018

MISA YA KISWAHILI YA MKESHA WA MWAKA MPYA IKIONGOZWA NA MCHUNGAJI MUSHI




Mchungaji Mushi akiwa mbele ya waumini akiongoza misa ya kiswahili kwenye kanisa la MT Cecilia  New York tayari kwa kukaribisha mwaka mpya. Licha ya kuwa na baridi siku hii ya mkesha lakini Watanzania waliweza kujisogeza kwenye misa hii tayari kwa maomboiya kuelekea mwaka mpya. Baada ya misa walipata nafasi ya kushiriki vinywaji baridi na chakula uku wakibadirisha  mawili matatu baada ya kuuona mwaka mpya. 
Kwa picha zaidi chini





No comments: