Kila jambo hakika huwa halikosi mwisho msemo huu huwa na
ukweli ndani yake ilikuwa kama ndoto kwa Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsin kutangaza
kustaafu kuandaa jukwaa la Lady in Red, lakini ndoto hiyo imetimia kabisa bila
kipingamizi mbele ya hadhara kubwa ya watu usiku wa 9 Feb 2018 ndani ya King
Solomon Hall.
Lad in Red 2018 limekuwa ni Onyesho la Mwisho kwa Designer mkongwe ambaye ndiye mwanzilishi wa
Onyesho hilo Asya Idarous Khamsin. Kiukweli Jukwaa la mwisho la Lady in Red
lilikuwa na mvuto, kwa taswira ya mbali inaonyesha kabisha ni jukwaa mabalo
lilikuwa na ushirikiano mkubwa sana wa wadau na wanamitindo wengine toauti
ilivyo zoeleka.
No comments:
Post a Comment