Advertisements

Wednesday, February 14, 2018

HEAD, INC YATOWA MSAADA WA MIWANI KONDOA, TANZANIA

Taasisi ya HEAD,INC iliyopo Maryland, Marekani , inayotoa huduma za Afya, Elimu na Maendeleo imetoa msaada wa miwani kwa wananchi na wakazi wa wilaya ya Kondoa.  Zoezi hili kwa robo hii yam waka linategemewa kufanyika pia mkoani Dar-essalaam, Tanga na Pwani.
HEAD, INC inawashukuru , Muheshimiwa Mbunge wa Kondoa Mjini, Edwin  Sannda na Viongozi wengine wote wa Wilaya kwa kusimamia zoezi la upimaji macho na utoaji wa miwani.

HEAD, INC pia inatoashukrani za dhati kwa wanadiaspora wa Marerkani kwa michango yao na kuwezesha kufanikisha zoezi hili, kwa ushirikiano mzuri kama huu tutaweza kufanya mengi zaidi.

Muheshimiwa Mbunge wa Kondoa Mjini, Edwin  Sannda akiwa na Baadhi ya Viongozi katika zoezi la Kupima Macho na Kutoa Miwani
  Baadhi ya Wananchi waliofika kwenye zoezi hili









No comments: