Advertisements

Monday, February 19, 2018

LADIES SPHERE 1ST ANNUAL DINNER DANCE MAMBO YA LIKUWA BAM BAM JITIRIRISHE MWANZO MWISHO.

Pichani ni waandaaji wa Valentine Dinner Dance wanaojulikana kamaLADIES SPHERE wakipata picha ya pamoja siku ya Jumamosi Feb 17, 2018 kwenye sherehe hiyo ya siku ya wapendanao iliyofanyika Massachusetts na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka majimbo ya jirani.
MC WA SHEREHE Mshereheshaji Frasisca Mwalugo akifanya vitu vyake..
Mambo ya vazi jekundu on point.
Wakati wa chakula.
menyu ikiendelea.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
wadau mbalimbali wakipata menyu.
wadau waliofika kwenye mnuso wa Valentine wakipata chakula.
chakula kikiendelea
msosi kwa kwenda mbele.
wadau wakiendelea kujipakulia chakula.

No comments: