Advertisements

Friday, February 16, 2018

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA DKT WILBROD SLAA NA MUHIDIN MBOWETO KUWA MABALOZI WETU SWEDEN NA NIGERIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Wilbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiashuhudia Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa wakila kiapo cha maadili ya viongozi baada ya kula kiapo kuwa mabalozi katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018
 ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba akiongea machache baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018 
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza  Dkt. Wilbrod Slaa baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden  katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018 .
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ  Luteni Jenerali Yakubu Mohamed aliyeungana na viongozi wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama kushuhudia  kuapishwa kwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa   katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  Jaji (Mst) Harold Nsekela na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi  wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  Jaji (Mst) Harold Nsekela na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi  na wakuu wa vyombio vya ulinzi na usalama wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018   
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma  Jaji (Mst) Harold Nsekela na  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi  na maofisa kutokla Wizara ya Mambo ya Nje wakiwa katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa baada ya mabalozi  hao kula kiapo katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018   
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na  Kamishna mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Bw. Rogers Sianga  pamoja na viongozi wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama waliofika kushuhudia  kuapishwa kwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto na Balozi wa Tanzania nchini Sweden  Dkt. Wilbroad Slaa   katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam asubuhi leo Februari 16, 2018  

PICHA NA IKULU

No comments: