Advertisements

Monday, February 12, 2018

TDC GLOBAL YAKABIDHI MCHANGO WA WANAFUNZI WA LUCKY VINCENT WALIOATHIRIKA NA AJALI YA BASI.

 MCHANGO KWA WANAFUNZI WA LUCKY VINCENT  WALIOATHIRIKA NA AJALI YA BASI  KUTOKA TDC Global.

Watanzania waishio nje ya nchi kupitia umoja wao (Tanzania Diaspora Council Global - TDC Global), Leo tarehe 12/02/2018 wamefanikiwa kukabidhi mchango wa shilingi milioni tatu (3,000,000/=) kwa watoto watatu  wanafunzi wa Lucky Vicent walioathirika na ajali iliyotokea Mei 6, 2017. Kila mtoto amepokea kiasi cha shilingi milioni moja. 

Picha juu na chini ni mwanachama wa TDC Global Bi Grace Kijuu (Gauni la njano) akiwakabidhi waathirika msaada wa fedha. Katibu wa RAS pamoja na Mhasibu Mkuu wa mkoa wa Arusha wakishuhudia makabidhiano hayo.

No comments: