Advertisements

Monday, March 12, 2018

Tafadhalini naomba nipigieni kura kupitia hii linki yenye picha yangu kwa kupenda picha yangu (LIKE). Alafu uwashirikishe na marafiki zako WOTE WhatsApp na Facebook.

Habari za leo watanzania wenzangu, 

Mwaka huu ninawakilisha Tanzania 🇹🇿 kwenye mashindano ya ulimbwende - Miss Africa Perth - huku Australia na ninataka kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania. 

Kuna ushindani wa hali ya juu na ninahitaji ushirikiano wenu ili kuhakikisha kuwa Tanzania inaibuka mshindi. 

Mpaka sasa nina kura 830 na ninahitaji kura takribani 3000 kujihakikishia nafasi nzuri ya ushindi. 

Tafadhani nipigie kura kupitia hii linki  yenye picha yangu kwa kupenda picha yangu (LIKE). Alafu uwashirikishe na marafiki zako WOTE WhatsApp na Facebook. 

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu!  #TanzaniaItapendeza🇹🇿



https://m.facebook.com/175980242461800/photos/a.1657170034342806.1073741865.175980242461800/1657170657676077/?type=3&theater

No comments: