Advertisements

Sunday, April 22, 2018

KARIBU KWENYE MKUTANO MKUU DMV JUMAPILI APRIL 22, 2018

Karibuni Wana DMV kwenye siku maalum tuliyoisubiri kusimikwa rasmi uongozi mpya.

Tumewaandalia mambo mbalimbali yakiwemo:

-nyama choma
-Mapochopocho
-moonbounce
-henna painting
-music na mengi yenye furaha.


*Tunapokea ada ya uanachama kwa wale wote ambao muda wao unakaribia kuisha kuwa "active member" na tunaandikisha wanachama wapya.*


Tujitokeze kwa wingi kusheherekea ushindi wa DMV.


​Wote Mnakaribishwa​

No comments: