cake
mandalizi yakiendelea karla birthday girl hajafika
Munaa katika maandalizi
wageni wakisubiri kwa hamu kum surprise Da Lila
Dj Moo
Mara paap ilibidi aangushe kilio kwa kukuta watu woooote wako pale bila yeye kujua.
Kilio hakuamini alichokiona
Ooh mama usilie tunakupenda!
Kilio cha furaha
hata nyie wajukuu mmeni surprise?
Dj Mose mmeniweza
Woow
Aunt kwanini lakini mmenifanyia hivyo
Nina(mtoto wa Da Lila) ambaye ndio alipanga mipango yote ya ku msurprise mama ake akishukuru wageni wote waliofanikisha.
msosi time
tukate cake sasa
Mahaba ya Mr and Mrs
Nina nae alipata yake
John pia alilishwa cake na mama yao kipenzi
zamu ya ma aunt
zawadi zilianza kumiminika (picha nzuri inatoka kwa kina aunt)
Kapuya akitunza
Digna akifanya yake
madolari sasa
wacha tukumwagie midola leo zamu yako umetutunza sanaaa
dance la aunt mariam na mkwewe
Da Lila akishukuru "Ahsanteni sana jamani mungu awazidishie palipo pungua"
ndugu, jamaa na marafiki waliojumika siku hy
raha tu na vicheko



No comments:
Post a Comment