Familia ya Dada Yetu Asha Hariz inawataarifu kuhusu kisomo cha Mama yake mlezi Bi Fatuma Bakari Mtambo aliyefariki na kuzikwa Tanzania March 1, 2018.
Kisomo kitakafanyika Jumamosi, April 7, 2018
kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa tatu usiku (6:00pm - 9:00pm)
Tabeer _(Langley Park)_
1401 University Blvd EAST
Hyattsville, MD 20789
Kama ilivyo ada yetu, tunaombwa tujumuike pamoja nao katika kufanikisha dua hii.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na :-
- Iddi Sandaly 301 613 5165
- Tumaini Kaisi 301 433 3411
- Ali Mohammed 301 500 9762
- Asha Nyanganyi 301 793 2833
*Inna Lillahi wa inna Ilayhi raajioun - Hakika sisi ni wa Mola, na Kwake ni marejeo (Quran 2:156)*
_Tunatanguliza Shukrani_
No comments:
Post a Comment