Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akitembea kuja kujitambulisha kwenye mnuso wa khanga party wa Easter siku ya Ijumaa March 30, 2018 Dallas, Texas.
Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akijitambulisha mbele ya mashabiki wa mitindo kwenye usiku wa khanga.
Walimbwende wa vivazi vya khanga waki[ata picha ya pamoja na mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment