Advertisements

Monday, April 30, 2018

MISA YA KUMBUKUMBU YA MZEE JOSEPH KESSY

Picha ya marehemu enzi ya uhai mzee Joseph Kessy aliyefariki Feb 1, 2018 Moshi, Tanzania na misa ya kumbukumbu ilifanyika siku ya Jumapili April 29, 2018 katika kanisa Mt. Edward Baltimore, Maryland.
Padri Wolfagang Pisa akitoa mahubiri kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mzee Joseph Kessy iliyofanyika siku ya Jumamosi April 29, 2018 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland.
Kutoka kushoto ni Padre Honest Munishi, Padre Wolfgang Pisa na Padre Edward Okelo wakiongoza misa ya kumbukumbu ya marehemu Mzee Joseph Kessy. 
Padre Honest Minushi aisoma neno.
Familia ya marehemu ikifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao


Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: