ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 1, 2018

RAIS MAGUFULI NA MKEWE JANET WAUNGANA NA WAUMINI WA KIKRISTO KWENYE IBADA YA SIKUKUU YA PASAKA KANISA LA ST.JOSEPH DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli pamoja na Waumini wengine wakifurahia mahubiri kutoka kwa Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya MtakatifuJ oseph wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janet Magufuli wakisalimiana na Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Joseph kabla ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janet Magufuli pamoja na Waumini wengine wakisikiliza mahubiri kutoka kwa Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Joseph wakati wa misa maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akitoa sadaka ya shukrani,nyuma yake ni mkewe Mama Janet Magufuli wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu akimkaribisha Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ili kuwasalimia Waumini na Watanzania kwa ujumla wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za Sikukuu ya Pasaka kwa Waumini na Watanzania kwa ujumla wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akitoa salamu za Sikukuu ya Pasaka kwa Waumini na Watanzania kwa ujumla wakati wa misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa amhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipongezwa na Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Joseph baada ya kuhutubia katika misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Waumini mara baada ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli na Paroko msaidizi Venance Tegete wa Parokia ya Mtakatifu Joseph wakifuahia jambo mara baada ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wa kuwaaga Waumini mbalimbali mara baada ya misa ya maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.April 1,2018.(PICHA NA IKULU)

No comments: